Kocha Benchikha Hana Hamu Abaki Kwenye Benchi Baada ya Mechi Akitafakari


Kocha Benchikha Hana Hamu Abaki Kwenye Benchi Baada ya Mechi Akitafakari

Mwamba anapitia wakati mgumu sana , katoka kuwa Champion wa CAFCC msimu uliopita na USMA then kachukua Super Cup mbele ya Ahly …. Lakini kwenye majukumu yake mapya akiwa na Simba baada ya kuondoka USMA : kumekuwa kugumu sana .

Hii picha inaelezea jinsi gani amekata tamaa na msimu huu !… Out CAFCL , Out CRDB FEDERATION CUP , NBCPL upo nyuma kwa Alama 6 against anayeongoza ligi …. Next game dhidi ya Yanga (Derby) .

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.