Yanga yaichimba Mkwara Mamelodi: Suala la Kupandisha Mnara hatutanii

Yanga yaichimba mkwara Mamelodi: Suala la kupandisha mnara hatutanii


Kuelekea mchezo wao robo fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns, jana Klabu ya Yanga ilizindua hamasa zake katika Makao Makuu ya Klabu hiyo, Jangwani, jijini Dar es Salaam ambapo mitaa ya Kariakoo yote ilitikisika.


Mchezo huo ambao ni maalum kwa kiungo wao, Mudathir Yahya ukiwa na kauli mbiu isemayo ‘SIMU ZIITE, TUKUTANE KWA MKAPA’, utachezwa Machi 30, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.