Top 10 Viwango vya Ubora vya FIFA Kwa Timu za Taifa za Wanaume Afrika



Top 10 Viwango vya Ubora vya FIFA Kwa Timu za Taifa za Wanaume Afrika

Michuani ya AFCON iliyomalizika mapema mwezi huu imekuwa na mchango mkubwa kwa baadhi ya timu kupanda katika viwango vya FIFA kutokana na ubora wa timu hizo kwenye mashindano hayo.

Nigeria ambayo ilifika hatua ya fainali ya AFCON imepanda kwa alama 14, huku mabingwa, Ivory Coast wakipanda kwa alama 10.

Aidha, kwa upande wa Tanzania, imepanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya 121 iliyokuwepo Desemba 2023 hadi nafasi ya 119 Februari 2024

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.