Ratiba ya Simba, Yanga, Azam na Takwimu zao Ligi Kuu

 

Ratiba ya Simba, Yanga, Azam na Takwimu zao Ligi Kuu

Kikosi cha Yanga SC kitaondoka leo Machi 7, 2024 kwa ndege ya kukodi kuelekea Ruangwa Mkoani Lindi kwa ajili ya Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC.


Yanga imeamua kukodi ndege binafsi na kuomba kutua uwanja wa ndege wa Nachingwea ambao ni uwanja wa Jeshi, mara nyingi uwanja huo hutumiwa na Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa anapokuwa na safari za jimboni kwake.


Mchezo wa mwisho Yanga kucheza na Namungo Ruangwa Yanga walishinda (2-0), mabao ya Bangala na Tuisila Kisinda.


Ratiba ya title contenders March;

NBC premier league fixtures;


Young Africans

◉ Namungo vs Yanga — Mar 8

◉ Yanga vs Ihefu — Mar 11

◉ Yanga vs Geita gold — Mar 14

◉ Azam vs Yanga — Mar 17


Simba SC

◉ Simba vs Prisons — Mar 06 ☑️

◉ Coastal Union vs Simba — Mar 9

◉ Simba vs Singida FG — Mar 12

◉ Simba vs Mashujaa — Mar 15


Azam FC

◉ Azam vs Yanga SC — Mar 17

Msimamo wa ligi kuu so far ;

1. Mechi 20 ⚽ +30 Point 44 — Azam FC

2. Mechi 16 ⚽ +31 Point 43 — Yaga SC

3. Mechi 16 ⚽ +16 Point 36 — Simba SC

4. Mechi 19 ⚽ +01 Point 27 — Coastal Union

5. Mechi 19 ⚽ 00 Point 27 — Prisons


Takwimu za vinara wa mabao, michezo waliyocheza, Magoli na Assists;


1. Mechi 20 ⚽ 12 Assist 5 — Feisal Salum

2. Mechi 11 ⚽ 10 Assist 3 — Stephane Aziz Ki

3. Mechi 18 ⚽ 08 Assist 4 — Marouf Tchakei

4. Mechi 16 ⚽ 08 Assist 2 — Maxi Nzengeli

5. Mechi 10 ⚽ 08 Assist 1 — Jean Baleke

6. Mechi 18 ⚽ 08 Assist 0 — Waziri Junior.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad