Prince Dube Awalipua Azam FC 'Kuna Vingozi wa Azam Wanazisapoti Simba, Yanga'

 

Prince Dube Awalipua Azam FC 'Kuna Vingozi wa Azam Wanazisapoti Simba, Yanga'

Prince Dube amesema kuna viongozi ndani ya Azam FC timu ikifungwa wanafurahia.

“Kwenye viongozi pia wako kwenye timu, wako Azam, lakini mioyo yao iko kwenye timu zingine wanazozisapoti, hizo timu zikishinda wanafurahia, hili ni tatizo jingine unajua mara nyingine ni ngumu kusema vitu hivi lakini sasa tuko kwenye hali ngumu natakiwa kusema sina chaguo, siwezi kuwa kwenye timu ambayo wewe unataka kushinda kitu lakini watu ambao wanaowaongoza wanasapoti timu mnayoshindana nayo, ndiyo maana nataka mabadiliko niwe sehemu ambayo watu wanaowaongoza mnafikiria kitu kimoja,” amesema Dube.

Kwahiyo Azam FC kuna “masnitch” yani, timu ikifungwa wanaenda kushangilia chooni, Daah nimelia sana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.