Namungo Waichapa Kagera Sugar Uwanja wa Majaliwa

 

Namungo Waichapa Kagera Sugar Uwanja wa Majaliwa

Bao pekee la Ibrahim Abdallah dakika ya 31 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.


Namungo FC inafikisha pointi 23 katika mchezo wa 19 na kupanda nafasi ya saba, wakati Kagera Sugar inabaki na pointi zake 23 za mechi 20, ikishukia nafasi ya tisa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.