Mshahara Anaopata John Bocco Simba Hata Professor Hawezi Upata
0Soka TanzaniaMarch 16, 2024
“Mpira ni utajiri nimekaa pale Simba nikikaimu nafasi ya uenyekiti unasaini mishahara ya wachezaji mtu mwenye Degree (Shahada) kama mimi au Degree mbili hawezi kupata mshahara anaopata John Bocco, hata profesa haupati.
“Mshahara anaopata (aliokuwa akipata) Kagere nauona, mshahara anaopita Chama nauona Profesa hawezi kupata,” Mwina Kaduguda ndani ya #SportsArena