Matokeo ya Yanga vs Namungo Leo Tarehe 8 March 2024

Matokeo ya Yanga vs Namungo Leo Tarehe 8 March 2024

Matokeo ya Yanga vs Namungo Leo Tarehe 8 March 2024

Matokeo ya Yanga vs Namungo 8 March 2024, Matokeo ASEC vs Simba 8 March 2024, Matokeo Yanga vs Namungo leo Live Score 8 March 2024, Matokeo Yanga vs Namungo leo 8 March 2024 , Matokeo Yanga vs Namungo 8 March 2024  

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili wauaji wa Kusini, Timu ya Namungo FC.

Yanga wanaingia katika mchezo huo wakiwa na matokeo mazuri zaidi baada ya kushinda michezo yao miwili ya Ligi waliyocheza kwa ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya KMC na JKT Tanzania.

Yanga inahitaji alama tatu kuhakikisha inarudi kileleni mwa msimamo wa Ligi baada ya kushushwa na Mashujaa FC siku chache zilizopita.

Namungo waliopo chini ya Kaze wanahitaji ushindi baada ya kupoteza mchezo dhidi ya JKT Tanzania kisha wakasuluhu na KMC.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.