Klabu ya Azam FC imethibitisha Kupokea ofa Mbili Kumtaka Prince Dube

Klabu ya Azam FC imethibitisha Kupokea ofa Mbili Kumtaka Prince Dube


 Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea ofa 2 kwa ajili ya Mshambuliaji wao Prince Dube.

Ofa hizo mbili moja inatoka Simba SC ya Tanzania na nyingine inatoka kwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan.

Aidha Klabu ya Azam bado inakaribisha ofa zaidi kutoka vilabu mbalimbali ambavyo vimevutiwa na mchezaji huyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad