Hatimaye Aziz Ki kimeeleweka Yanga, Kuendelea Kunywa Damu ya Kijani na Njano

Hatimaye Aziz Ki kimeeleweka Yanga, Kuendelea Kunywa Damu ya Kijani na Njano

 

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, raia wa Burkina Faso, Stephen Aziz Ki amefikia makubaliano mazuri na Uongozi wa timu hiyo, ya kuendelea kubakia kuvaa jezi zenye rangi ya kijani, njano katika msimu ujao.


Inaelezwa kuwa Menejimenti ya kiungo huyo, imekubali kukaa meza moja kuingia mkataba miwili ya kuichezea timu hiyo.


Kiungo huyo ni kati ya wachezaji ambao mikataba yao, unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu, ambaye alijiunga na Yanga akitokea Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.