Fei Toto Amfunika Staa wa Yanga, Stephane Aziz KI


Fei Toto Amfunika Staa wa Yanga, Stephane Aziz KI

Unaambiwa NYOTA wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amemfunika staa wa Yanga, Stephane Aziz KI kwa upachikaji wa mabao katika Ligi Kuu Bara.


Aziz KI aliyekuwa anaongoza kwa muda mrefu na mabao 10, amepitwa na Feisal ambaye amefikisha 11 msimu huu baada ya kufunga mawili wakati timu hiyo ya matajiri wa jiji la Dar es Salaam ikiibuka na ushindi wa 4-1, dhidi ya Dodoma Jiji.

Feisal alifunga mabao hayo dakika ya 62 na 64 huku mengine katika mchezo huo yakifungwa na Ayoub Lyanga na winga, Kipre Junior

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.