Etoo: Bila Infantino, Afrika ni ngumu kutoboa katika Soka

 

Etoo: Bila Infantino, Afrika ni ngumu kutoboa katika Soka

Samuel Eto’o anaamini nafasi pekee ya maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika ni kipindi hiki ambacho Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA ni Gianni Infantino


“Tumepata bahati kubwa tuna Rais wa Shirikisho ambaye anaipenda FIFA, sina maana kama namkubali sana hapana ila endapo ataondoka FIFA sisi kama Afrika hatutakuwa na nafasi ya kufanya vizuri zaidi tutakutana na vipingamizi vingi”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.