Clatous Chama Atupia, Kennedy Musonda Atoa Assist Zambia

 

Clatous Chama Atupia, Kennedy Musonda Atoa Assist Zambia
Chama na Musonda

Kiungo wa Simba Sc, Clatous Chama amefunga bao moja huku Kennedy Musonda wa Yanga akitoa ‘assist’ wakati Chipolopolo wakipoteza kwa penalti 6-5 dhidi ya Zimbabwe baada ya sare ya 2-2 katika mchezo wa kirafiki.


FT: Zambia 2-2 Zimbabwe (P 5-6)


Sunzu 5’ (Assist Musonda)


Chama 24’ (Assist Banda)


Bonne 32’ (Assist Msendami)


Musona 45+2’ (Assist Takwara)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.