Azam Wagomea Offer ya Milioni 509 Kumuuza Prince Dube Al Hilal ya Sudan


Azam Wagomea Offer ya Milioni 509 Kumuuza Prince Dube Al Hilal ya Sudan

Kwa mujibu wa taarifa zinasema kuwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan imepeleka ofa ya Dola 200,000 [TZS 509 Million] kwenye klabu ya Azam FC ili kuinasa saini ya mshambuliaji wa klabu hiyo Prince Mpumelelo Dube.

Hata hivyo Azam FC imekikataa kiasi hicho na kudai kuongezwa hadi kufika Dola 300,000 [TZS 764 Million] kama mkataba wake unavyosema ambao utamalizika mwaka 2026. Prince Dube tayari amewaaga mashabiki wa klabu hiyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.