Yanga Washaanza Kutoa 'THANK YOU' Beki Huyu Aanzisha Safari Rasmi
Klabu ya Young Africans itaachana na beki wake wa kati raia wa Uganda Gift Fred kwenye dirisha dogo la mwezi January.
Klabu ya Young Africans itaachana na beki wake wa kati raia wa Uganda Gift Fred kwenye dirisha dogo la mwezi January. Nyota huyo amekuwa hapati namba kwenye kikosi cha Yanga tangu alipojiunga na kikosi hicho kwenye dirisha kubwa la usajili msimu huu.
SOMA PIA: Ligi Bora Africa | Best Football Leagues in Africa 2023/2024