Tetesi za Usajili: Yanga Kuacha Hawa Wanne



Za ndani kabisa Tena chini ya kapeti la chumbani, Inasemekana Yanga wanajiandaa kuachana na Hawa baada ya kutokuonesha kiwango Uwanjani:
◎Gift Fred 🇺🇬
◎Hafiz Konkoni 🇬🇭
◎Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ 🇿🇦
◎Jesus Moloko 🇨🇩

Wananchi Mp hapo vipi ?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.