Mbwana Samatta Hakamatiki Tena Kwa Rekodi, Timu yake Yatinga Robo fainali UEFA Conference League

Mbwana Samatta Hakamatiki Tena Kwa Rekodi, Timu yake Yatinga Robo fainali UEFA Conference League


Mbwana Samata ameendelea kuandika Historia mpya katika Ulimwengu wa Soka baada ya Klabu yake ya POK anayo ichezea Kwa sasa kutinga Robo fainali katika michuano ya UEFA Conference League wakiwa vinara kutoka kundi G.

PAOK wamekusanya alama 16 na kuwa wababe mbele ya Eintracht Frankfurt wababe wa Bayern Munich. POK wameicha HJK mabao 4-2 na kutinga hatua inayofuata katika michuano hiii.

1. Samata alikuwa Mtanzania wa kwanza kutinga Robo fainali UEFA Europe League.

2. Samata anakuwa Mtanzania wa kwanza kutinga 16 Bora UEFA Conference League.

3. Samata alikuwa Mtanzania wa kwanza kucheza UEFA Champions League.

4. Samata ni Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Pendwa Duniani Premier League.

5. Samata alikuwa Mtanzania wa kwanza kutwaa tuzo kubwa hapa Afrika inayo simamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Mchezaji bora wa Ligi za Ndani .

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad