Amri Kiemba: Mayele alistahili Tuzo mbele ya Percy Tau

 

Amri Kiemba: Mayele alistahili Tuzo mbele ya Percy Tau

Mchambuzi wa soka nchini Tanzania na mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Amri Kiemba amesema Fiston Mayele alistahili kupata tuzo mbele ya Percy Tau kutokana na mafanikio aliyoyapata msimu uliopita.


Kiemba anasema kilichombeba zaidi Tau ni mafanikio ya timu lakini kama wangekuwa wanaangalia mafanikio ya mtu binafsi basi Fiston Mayele alikuwa anastahili kubeba ile tuzo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.