Yanga Wazindua Jezi Mpya Mechi za Kimataifa

 

Yanga Wazindua Jezi Mpya Mechi za Kimataifa
Jezi ya Kimataifa ya Yanga

  Yanga Wazindua Jezi Mpya Mechi za Kimataifa

Klabu ya Yanga imezindua Jezi mpya zitakazotumika katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika kuanzia hatua ya Makundi.


Yanga ipo kundi D sambamba na timu za Al Ahly, CR Belouzdad na Medeama FC.


Yanga inatupa karata yake ya kwanza Ijumaa hii Novemba 24 dhidi ya CR Belouzdad nchini Algeria.


Tazama jezi hizo kwa ukaribu katika Video hapa chini kisha utupe maoni yako, Unaupa asilimia ngapi Uzi mpya wa Yanga?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.