Simba Wamchunge Huyu Mwamba wa kuitwa Poku, ni Aziz Ki mtupu!

 

Simba Wamchunge Huyu Mwamba wa kuitwa Poku, ni Aziz Ki mtupu!

Serge Poku ni nyota wa kuchungwa zaidi katika Kikosi cha ASEC Mimosas akicheza nafasi ya kiungo mshambuliaji.


Poku mwenye umri wa miaka 23 msimu huu amepania kufanya makubwa ili aweze kutengeneza pesa nyingi Kwa kupata marisho Bora zaidi nje ya ASEC Mimosas iwe hapa hapa Afrika ama Ulaya.


Poku ndiye mtambo wa mabao ndani ya Kikosi cha ASEC ambapo hadi sasa amefunga mabao sita katika mashindano yote akiwa na jezi ya ASEC Mimosas.


Ni kinara wa mabao kwa upande wa ASEC ndani ya Ligi Kuu ya Ivory akiwa na mabao manne, huku CAF Champions akiwa amefunga mabao mawili hadi sasa.


CAFCL ⚽-2 ✔️ IPL ⚽-4 ✔️

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.