Simba SC yashinda Tuzo ya Mashabiki Bora African Football League
Klabu ya Simba SC imeshinda tuzo ya Mashabiki Bora katika Michuano ya African Football League iliyotamatika leo Novemba 12 nchini Afrika Kusini.
Simba ilicheza mchezo wa ufunguzi hatua ya Robo Fainali dhidi ya Klabu ya Al Ahly kutoka Misri kayika Uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 20.
Neno moja kwa Mashabiki wa Simba SC tafadhali