Simba Kumtambulisha Kocha Mpya Soon

 

Simba Kumtambulisha Kocha Mpya Soon

Baada ya kuachana na aliyekuwa kocha wao Roberto Oliviera 'Robertinho', Simba SC wanatarajia kumtangaza kocha mpya wiki hii.


Akizungumza na Wasafi FM, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally amesema kwa asilimia kubwa wameshakamilisha taratibu za awali na tayari wanakamilisha wameshajiridhisha vya kutosha.


"Tumeshajiridhisha, ni kocha mzuri na tunayemhitaji. Hivyo wiki hii kabla haijaisha, tutamtangaza," alisema Ahmed.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.