Mchambuzi: Sven Hawezi Kurudi Simba, Waache Kutudanganya

 

Mchambuzi: Sven Hawezi Kurudi Simba, Waache Kutudanganya
Kocha Sven

 Mchambuzi: Sven Hawezi Kurudi Simba, Waache Kutudanganya

Kutokana na changamoto ambazo ziko katika klabu zetu hasa klabu zetu kongwe katika maswala ya usimamizi na uendashaji wa klabu na kuingilia mipango ya makocha


Makocha wengi waliowahi kupita na kufundisha soka ndani ya Tanzania na kupata mafanikio na kuonekana na klabu kubwa nje ya Tanzania na kwenda kufanya kazi, Wengi huwa hawatamani kurejea Tanzania kutoka na mfumo wa uendeshaji wa timu zetu, Labda kama kocha hawe ajafanikiwa huko nje anaweza kuja tena kwanili ya kutengeneza status yake


Kwa Sven ni ngumu kurudi Simba kwakua amefanya fanya kazi ndani ya klabu hiyo kwa mafanikio lakini kuna mamba yalikuwa apendezwi nayo ndani ya klabu, Ndiyo mana ilipokuja ofa kutoka Morocco hakusita kuondoka, Kwasas kocha huyo ana profile nzuri barani Africa hivyo nafikiri atakuw nafikiria zaidi klabu zenye mipango mikubwa katika soka la Afric

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad