KIMENUKA: Aden Rage Ataka Simba ilipwe Milioni Mia, Yanga Kutumia Nembo yao Bila Ruhusa Kwenye Bango Lao

Published from Blogger Prime Android App

“Aliyeweka yale mabango ni kampuni ya Outdoor ambayo ni kampuni ya kibiashara ,imeweka mabango na nembo ya Simba bila ruhusa yetu ,nimewashauri viongozi kesho wachukue hatua za kisheria ,tulipwe milioni 100 kwa kuchezea nembo yetu bila sababu ya maana “

“Hili tangazo limewekwa na kampuni ya outdoor , ni tangazo la kibiashara ambao wamekubaliana na Yanga ,sisi hatuna tatizo na Yanga waweke matangazo vyovyote wanavyotaka lakini wasiweke tangazo la biashara”

“Kwaa kuwa wameweka tangazo la biashara ,sisi tunawadai watu wa outdoor watulipe pesa “

Aden Rage /Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.