Timu ya TP Mazembe yawachakaza Waarabu AFL Kwa Mkapa

 

TP Mazembe yawachakaza Waarabu AFL Kwa Mkapa

TP Mazembe imetanguliza mguu mmoja mbele kwenye nusu fainali African Football League baada ya kuichapa Esperance ya Tu-nisia bao 1-0 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa


Bao la Mazembe limefungwa na Cheick Fofana dakika ya 11 na sasa wataenda nayo Tunisia kwenye mechi ya marudiano Oktoba 25


Pale Nigeria saa 3:00 usiku kinawaka pia wakati Enyimba watakapovaana na Wydad Casablanca ya Morocco.


Mazembe inakuwa ni timu ya pili kupata ushin-di kwenye AFL ambapo jana Mamelodi Sun-downs ilipata ushindi ugenini wa mbao 2-0 na Petro De Luanda uwanja wa Estádio 11 de Novembro, Angola.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.