Matokeo Yanga SC vs Azam FC Leo 23 October 2023
Leo ni kivumbi na jasho Yanga na Azam wanakutana kwa mkapa, tunakuwekea matokeo ya mechi hiyo hapa
Katika Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2, wafungaji wakiwa ni Fiston Mayele, Aziz ki na Farrid Mussa, huku mabao ya Azam FC yote mawili yakifungwa na Abdul Sopu.
Kwa upande wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports msimu uliopita, Yanga iliifunga Azam bao 1-0, kisha nusu fainali ya Ngao ya Jamii msimu huu, Yanga ikashinda 2-0.
Matokeo Yanga SC vs Azam FC Leo 23 October 2023
YANGA 3:2 AZAM