Kikosi cha Yanga vs Azam leo 23 October 2023 NBC Premier League, Kikosi cha Yanga sc vs Azam Fc , Kikosi cha Yanga dhidi ya Azam leo, Kikosi cha Yanga sc vs Azam Fc leo, Kikosi cha Yanga vs Azam leo, Kikosi cha Yanga dhidi ya Azam leo 23 October 2023
Katika Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2, wafungaji wakiwa ni Fiston Mayele, Aziz ki na Farrid Mussa, huku mabao ya Azam FC yote mawili yakifungwa na Abdul Sopu.
Kwa upande wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports msimu uliopita, Yanga iliifunga Azam bao 1-0, kisha nusu fainali ya Ngao ya Jamii msimu huu, Yanga ikashinda 2-0.
Hichi Hapa Kikosi cha Yanga vs Azam leo 23 October 2023 NBC Premier League