Tanzania Kuwa Mwenyeji wa AFCON 2027

 

Tanzania Kuwa Mwenyeji wa AFCON 2027

BREAKING: Kenya, Uganda na Tanzania Kuandaa Fainali za Kombe la AFCON 2027

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2027.

Ni rasmi michuano hiyo itachezwa katika nchi hizo tatu.

 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.