Hawa Hapa Mastaa Kutoka Yanga na Simba Walioitwa Kwenye Timu zao za Taifa

Hawa Hapa Mastaa Kutoka Yanga na Simba Walioitwa Kwenye Timu zao za Taifa

Ligi Kuu ya NBC kwa sasa imesimama kupisha ratiba ya michuano ya CAF kwa timu za taifa kufuzu fainali za AFCON 2023.

Hawa ni wachezaji wa vilabu vya Simba na Yanga walioitwa mpaka sasa kwenye timu zao za taifa kwa ajili ya michuano hiyo.


Yanga SC

  • Djigui Diarra — Mali
  • Metacha Mnata — Tanzania
  • Nickson Kibabage — Tanzania
  • Bakari Mwamnyeto — Tanzania
  • Ibrahim Bacca — Tanzani
  • Gift Fred — Uganda
  •  Dickson Job — Tanzania
  •  Khalid Aucho — Uganda
  • Jonas Mkude — Tanzani
  •  Mudathir Yahya — Tanzania
  •  Stephanie Aziz Ki — Burkinafaso
  • Clement Mzize — Tanzania

Simba SC

  • Kennedy Juma — Tanzania
  • Mzamiru Yassin — Tanzania
  •  Kibu Denis — Tanzania
  • John Bocco — Tanzania
  • Said Ntibazonkiza — Burundi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.