Matokeo Simba vs Power Dynamos Leo 6 August 2023 Simba Day

 

Matokeo Simba vs Power Dynamos Leo 6 August 2023 Simba Day

MATOKEO Simba vs Power Dynamos Leo 06 August 2023, Matokeo ya Simba vs Power Dynamos Leo 06 August 2023 Simba Day, Klabu ya Simba SC, inatarajiwa kucheza mchezo unaofuata kwenye kilele cha Wiki ya Simba (Simba Day 2023) dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.


Mchezo huo wa Kimataifa wa Kirafiki unatarajiwa kupigwa Jumapili ya leo tarehe 6 August 2023, kuanzia saa 1:00 Usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


Mechi hiyo itakapoanza, utaweza kufuatilia matokeo ya moja kwa moja ya Simba vs Power Dynamos FC, matokeo ya dakika baada ya dakika na takwimu za mechi hiyo.

SIMBA 2 - 0 POWER DYNAMOS

Simba SC, also known simply as Simba, is a professional football club based in Dar es Salaam, Tanzania. Similar to Yanga SC, Simba SC is one of the oldest and most successful football clubs in the country, boasting a rich and storied history in Tanzanian football

ALSO READ

Viingilio Simba Day 06 August 2023 Ticket Cost Simba Day

Tiketi za Simba Day Zimekwisha, Simba Day Ticket Sold Out

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad