TETESI: Unaambiwa Straika Mrithi wa Fiston Mayele Awawekea Ngumu Yanga
Tetesi ni kwamba mrithi wa Mayele ambaye ni Emmanuel Mahop Dikongue (28) kutoka Cameroon amewawekea ngumu Yanga Sc kwenye kipengele cha mshahara.
Taarifa zinaeleza kuwa mchezaji huyo anataka kulipwa milioni 35 kwa mwezi huku Yanga wakimuwekea milioni 20 mezani.
Makubaliano binafasi kati ya Timu na Mchezaji Huyo ndo yanayokwamisha dili hilo kukamilika hadi hivi sasa.