Ahmed Ally "Nimelia sana leo tangu asubuhi baada ya kusikiliza mahojiano ya Feisal"

 

"Nimelia sana leo tangu asubuhi baada ya kusikiliza mahojiano ya Feisal.

"Kijana ameteseka mno, amenyanyaswa sana na amedhalilishwa kuanzia yeye mpaka familia yake

Imeniumiza sana nimeshindwa hata kunywa Chai"

-Afisa habari wa Simba Sc Ahmed Ally

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.