Kilichopo hivi sasa, Wakala wa Pape ameiandikia barua klabu ya Simba akiwaomba wamuachie mteja wake aondoke endapo ofa nzuri ikija kwani mchezaji wake hana furaha baada ya kukosa namba kwenye kikosi cha kwanza cha klabu ya Simba
Tokea aingie kocha Robertinho amekuwa akimpa nafasi zaidi Kibu Denis na kumuweka benchi Pape Sakho kitendo ambacho wakala wa Sakho anaona mteja wake anauwezo wa kuanza kikosi cha kwanza