Timu ya Southampton Yashuka Daraja Ligi Kuu ya England

Timu ya Southampton Yashuka Daraja Ligi Kuu ya England

Klabu ya Southampton imeshuka daraja rasmi baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Fulham.

Matokeo hayo yamewafanya kusalia na alama 24 na michezo miwili ambayo haisadii kuepukana na janga hilo.

Hii ni mara yao ya Tatu kushushwa daraja baada ya msimu wa 1973-74 na ule wa 2004-2005. Southampton wameiaga EPL baada ya miaka 11 na sasa watashiriki Ligi ya Championship msimu ujao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad