
Naambiwa hapa; Mastaa kama Pape Sakho 🇸🇳 na Moses Phiri 🇿🇲 licha ya kutegemewa kutokana na ubora wao ila ni miongoni mwa wanaotajwa pia kutaka kuondoka kutokana na kutokuwa na furaha tangu Robertinho alipoingia ndani ya kikosi hicho Januari 3, mwaka huu.