Steve Nyerere Amshauri Fei Toto Mambo Haya Baada ya Kesi yake Kubuma TFF

fei toto

Steve Nyerere ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

@fesali642 Mdogo wangu una kipaji kikubwa hakuna Mtanzania asiyejua uwezo wako lakini hakuna mwana Yanga asiyetambua mchango wako ,,.Dogo Mpangaji mzuri ni yule anayeagana na baba mwenye nyumba yake vizuri ,.


Hatujui kesho Dogo waage wenye nyumba salama hata kama umegundua nyumba ina nyufa lakini kamwe Yawezekana ipo siku ukarudi kama Mpangaji tena.,.,.,.,.


Natambua unaishi kwa Faida, sio kosa kabisa ndio muda wa kutengeneza maisha yako lakini fanya bila kugombana na mtu.,.,.,.


Umri wako na mpira ni baba mmoja na mama mmoja.,

Umefika muda sio wa kukomoana ondoka ila kila mwana Yanga atambue wajibu wako heshima yako.,


Nishauri wana Yanga

,

Mpeni baraka

,.,..

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.