Simba Vs Azam FC |
Shughuli ya Simba Msimu Huu Imeishia Mtwara Nangwanda Sijaona, Azam FC Wanatinga Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup , Wanasubiri Mshindi Kati ya Yanga na Singida Big Star
FULL TIME: SIMBA 1:2 AZAM
Magoli ya Leo Yamefungwa na Wachezaji Hawa:
Lusajo Mwaikenda 22
Sadio Kanoute 28
Prince Dube 75