Simba Kuachana na Juma Mgunda Msimu Ujao

Published from Blogger Prime Android App

Klabu ya Simba imepanga kujisuka upya kikosi chao cha msimu ujao na kwa kufanya hilo wameona waanze na kufagia na kila eneo ambalo viongozi wa klabu hiyo hawajaridhishwa nalo

Kwa kuanza wameanza na kocha msaidizi Juma Mgunda kuwa wamepanga kuachana nae kwenye harakati za kusaka vikombe msimu ujao

Sababu kuu za kuachana na Juma Mgunda ni kutokuwa na maelewano mazuri na kocha mkuu Robertinho

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.