Simba ina makipa wawili timu ya Taifa , mmoja kapata majeraha mwingine yupo fiti unamuacha unaenda kuchezesha Kipa ambaye hana uzoefu , ni kujipiga shoti mwenyewe"
"Kama mlikuwa mnahofu kwanini kwenye sub alikuwa anakaa ? Je ingetokea Salim ameumia ? " Shafih Dauda