Sadio Mane na Msimu Mgumu Kwake Bayern Munchen, Magoli yake Nane Yakataliwa, Adaiwa Kuwa na Gundu
Sadio Mane amekuwa na msimu mgumu tangu ajiunge na Bayern Munchen miezi 12 iliyopita akitokea Liverpool , nyota huyo raia wa Senegal amefunga mabao 7 tu na assist 4 kwenye mechi 22 alizocheza 2022/23
Bahati mbaya zaidi mabao ambayo yamekataliwa ni mengi zaidi ya yaliyokubaliwa
Yamekubaliwa 7 ⚽
Yamekataliwa 8 🚫
Assist 4