Endapo Yanga watampata Bruno kutoka Singida BS, basi watazidi kuimarisha Midfield yao na itazidi kuwa bora.
Endapo Simba watampata James Akaminko ambaye ni kweli wanahitaji saini yake basi Midfield nayo itakuwa bora.
Msimu unaelekea mwisho na macho ya usajili yameanza.