Mohamed Hussein Anamaliza Mkataba Simba, Timu za South Afrika Zamgombania

Published from Blogger Prime Android App


MOHAMED HUSSEIN TRANSFER UPDATE­čö┤

- Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Simba, MO Hussein anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo klabu kadhaa zimeanza kutuma ofa. 

- Klabu za Afrika Kusini, Kaizer Chiefs, Royal AM na Orlando Pirates wametuma ofa rasmi kwa Menejiment yake huku Supersport United wakimtumia mtu wa kati kufikisha ofa kwa Wakala wake. 

- Aidha Simba pia wameanza mazungumzo na Tshaba ili aongeze kandarasi ambapo kwasasa wanapewa kipaumbele kikubwa kuanzia ofa yao na vipengele vingine vya kimkataba ijapo hajasaini karatasi zozote mpaka hivi sasa.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.