Mechi ya Simba na Azam, Juma Mgunda Akabithiwa Mikoba yote Afunguka Haya


Published from Blogger Prime Android App

Mtwara | “Maandalizi yote ya kucheza mchezo wa Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup yamekamilika, hakuna ambae hajui uzito wa mchezo huo. Tunacheza dhidi ya timu yenye wachezaji wazuri na benchi la ufundi zuri.”

“Naamini mchezo utakuwa wenye ushindani mkubwa, kwa kulielewa hilo maandalizi yote ya kucheza mchezo wa aina hiyo yamekamilika.”

- Juma Mgunda, Kocha Msaidizi Simba.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.