MATOKEO Yanga Vs Marumo Gallants Leo Tarehe 10 May 2023

 
MATOKEO Yanga vs Marumo Gallants Leo tarehe 10 May 2023

MATOKEO Yanga vs Marumo Gallants Leo tarehe 10 May 2023

MATOKEO Yanga vs Marumo Gallants Leo tarehe 10 May 2023,MATOKEO Yanga vs Marumo Gallants South Africa Leo tarehe 10 May 2023 Nusu Fainali CAF Confederation Cup,Yanga vs Marumo Gallants Leo,Matokeo Young Africans vs Marumo Gallants Leo 10 May 2023,matokeo Yanga vs Rivers Leo,Yanga vs Marumo Gallants leo,Yanga vs Marumo Gallants South Africa leo, Young Africans vs Marumo Gallants leo.

Klabu ya Yanga SC itacheza mchezo unaofuata wa CAF Confederation Cup leo tarehe 10 May 2023 dhidi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini.

Mchezo huo wa Nusu Fainali mkondo wa Kwanza wa CAF Confederation Cup utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam Kuanzia Saa 10:00 Jioni.


Mechi ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na Marumo Gallants itapigwa Jumatano Mei 10 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar na marudio yatakuwa Mei 17 nchini Afrika Kusini saa 1:00 usiku.

MATOKEO: 

 YANGA 2:0 MARUMO GALLANTS


Yanga ambao ndio wawakilishi pekee wa Tanzania waliobaki katika Michuano ya CAF msimu huu baada ya Simba kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.


SOMA PIA : Kikosi cha Yanga Vs Marumo Gallants Leo Tarehe 10 May 2023Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.