LIVE Yanga vs Marumo Gallants Leo 10 May 2023
Soka Tanzania itakuletea LIVE Kiganjani Mwako mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika Kati ya Young Africans dhidi ya Marumo Gallants ya South Africa.
Mchezo huo unatajiwa kupigwa May 10, 2023 kuanzia saa 10:00 Usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam, Young Africans vs Marumo Gallants South Africa Semi-Finals CAF Confederation Cup 2022/2023.
LIVE ITAKUWA HAPA KUANZIA SAA 10 JIONI LEO
Kikosi cha Yanga Sc vs Marumo Gallants leo Tarehe 10 May 2023
Djigui Diarra
Kibwana Shomari
Joyce Lomalisa
Ibrahim Bacca
Bakari Mwamnyeto
Yannick Bangala
Khalid Aucho
Mudathir Yahya
Fiston Mayele
Aziz Ki
Jesus Molok
SOMA PIA: Yanga Waivimbia CAF "Tumeonewa Kupigwa Fine Sisi Sio Wakwanza Kupiga Mafataki"