Mlinda mlango wa Simba Ally Salim akikabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba kwa mwezi Aprili mwaka huu, inayoambatana na fedha taslimu Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Profile.
Ally Salim alikuwa na kiwango bora kwa Mwezi Aprili akiziba vyema Pengo la Aishi Manula ambae anatajwa kuwa majeruhi.