Kikosi cha Yanga vs Singida Big Stars leo 21 May 2023

 

Kikosi cha Yanga vs Singida Big Stars leo 21 May 2023

Klabu ya Yanga SC itacheza mechi inayofuata dhidi ya Singida Big Stars May 21, 2023 Saa 10:00 Jioni kwenye Uwanja wa Liti Mkoani Singida

Mechi hiyo itakapoanza, utaweza kufuatilia matokeo ya moja kwa moja ya Yanga vs Singida Big Stars, matokeo ya dakika baada ya dakika na takwimu za mechi hiyo.

KIKOSI Cha Yanga vs Singida Big Stars Leo tarehe 21 May 2023

Djigui Diara

Dickson Job

Kibwana Shomari

Bakari Mwamnyeto

Bacca

Khalid Aucho

Moloko

Mudathir Yahya

Musonda

Clement Mzize

Aziz Ki

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.