Mechi ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na Marumo Gallants itapigwa Jumatano Mei 10 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar na marudio yatakuwa Mei 17 nchini Afrika Kusini saa 1:00 usiku.
Yanga ambao ndio wawakilishi pekee wa Tanzania waliobaki katika Michuano ya CAF msimu huu baada ya Simba kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kikosi cha Yanga Sc vs Marumo Gallants leo Tarehe 10 May 2023
Djigui Diarra
Kibwana Shomari
Joyce Lomalisa
Ibrahim Bacca
Bakari Mwamnyeto
Yannick Bangala
Khalid Aucho
Mudathir Yahya
Fiston Mayele
Aziz Ki
Jesus Molok
SOMA PIA: Yanga Waivimbia CAF "Tumeonewa Kupigwa Fine Sisi Sio Wakwanza Kupiga Mafataki"