Kikosi cha Yanga kilichosafiri kuwafuata Marumo Gallants Sauzi
Kikosi cha Yanga kimeondoka kwenda Afrika Kusini alfajiri ya leo Mei 14, 2023 kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya marudiano dhidi ya Marumo Gallants ya nchini humo.
Mechi hiyo ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika itachezwa Jumatano Mei 17 saa 12 jioni. Yanga ilishinda mchezo wake wa kwanza kwa goli 2-0.
Kocha wa Yanga SC, Mohammed Nabi amekiri kuwa mchezo wa marudiano utakuwa mgumu kutokana na ubora walionao wapinzani wao.
GOALKEEPERS 1:Djigui Diarra 2:Metacha Mnata 3:Erick Johora
DEFENDERS 4:Ibrahim Abdallah 5:Bakari Mwamnyeto 6:Dickson Job 7:Kibwana Shomari 8:Joyce Lomalisa 9:Djuma Shaban 10:Mamadou Doumbia
MIDFIELDERS 11:Farid Mussa 12:Mudathir Yahya 13:Zawadi Mauya 14:Yannick Bangala 15:Jesus Moloko 16:Khalid Aucho 17:Staphane Aziz Ki 19:Salum Abubakar 20:Tuisila Kisinda
STRIKERS 21:Fiston Mayele 22:Kennedy Musonda 23:Clement Mzize.