Khalid Aucho Awapoteza Vibaya Marumo Gallants


Dakika 90

Kugusa mpira x 82

Jumla ya pasi 68 (sahihi 58)

Kiwango cha kukamilika kwa pasi 85%

Pasi muhimu 2

mipira mirefu 6 (sahihi 3)

Majaribio ya chenga 2 (zilizofanikiwa 1)

Pasi alizoingilia 3

Tackles 5

Mipira ya kugombania aliyoshinda 7

Faulo alizocheza 5

Amegusa mpira mara nyingi (82) zaidi ya mchezaji yeyote wa Young Africans.

Amepiga pasi nyingi (68) zaidi ya mchezaji yeyote wa Young Africans.

Amepiga pasi nyingi sahihi (58) zaidi ya mchezaji yeyote wa Young Africans.

Ameingilia pasi nyingi zilizokuwa zikielekea Kwa mpinzani (3) zaidi ya mchezaji yeyote wa Young Africans.

Amefanya tackles nyingi (5) zaidi ya mchezaji yeyote wa Young Africans.

Alikuwa na siku nzuri kazini

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad